Wanaohatarisha maisha ya watoto waonywa
Mbunge wa Molo, Kuria Kimani ameitaka idara inayoshughulikia maswala ya watoto katika maeneo ya Molo na Rongai kuwachukulia hatua kali wale wanaonyanyasa watoto wa shule kimapenzi. Bwana Kimani alitoa wito huo
Read on