Mabaraza ya kiswahili kubuniwa Afrika Masahriki
Chama Cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA) kinanuia kubuni baraza za Kiswahili hapa Afrika Mashariki ili kueneza ushirikiano na kukuza lugha. Akizungumza katika chuo kikuu cha Maasai Mara mjini Narok katika kongamano la wataalamu
Read on