Wanawake 5 mahakamani kwa kushiriki ukeketaji
Mahakama ya Molo imewaachilia wanawake 5 kwa dhamana ya Sh.200, 000 kila mmoja kwa kushiriki katika tohara za wanawake kinyume na sheria. Sharon Mutai, Martha Cheruiyot, Mercy Cheruiyot, Lorna Cheruiyot na
Read on