Wataalam wasisitiza utumiaji wa vyakula vya Asili
Bungoma ni kaunti yenye ukwasi mkubwa wa kuwa na udongo wenye rutuba inayostawisha mimea kama wimbi,mahindi,viazi,njugu,maharagwe na miwa . Vyakula hivi ni lishe nzuri lakini vimeanza kutoweka kutokana na sababu mbalimbali
Read on